Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

10 تغريدة 5 قراءة Apr 14, 2023
KULALA MASAA CHINI YA 8 USIKU KUNAHARIBU AFYA YA MWILI NA AKILI
UZI 🧵
Hizi hapa kwanini & Jinsi ya kurekebisha
Usingizi Mdogo
•Kuongezeka Uzito
•Kupunguza Ubongo kufanya Kazi
•Kupunguza kupona Misuli
•Kusabibisha matatizo ya Akili
•Kuongeza Hatari ya Magonjwa
Ubahati, Kuna njia Rahisi ya kurekebisha
Tutumie Mbinu ya 10, 10, 4, 3, 2, 1
Tuivunje sasa
10 Dakika za Mwanga wa Jua
Kila asubuhi, angalia Mwanga wa Jua kwa Dakika 10
Angalia sehemu ya chini ya Mwanga, itakusaidia kupitiwa na Usingizi Usiku
Tumia dk 10 asubuhi kutembea juani
10 Masaa bila kafeini
Usitumie kinywaji Chenye kafeini Masaa 10 kabla ya kulala, Ili upate Usingizi Bora
Kafeini inadumu Masaa 6, kwahiyo ukitumia mchana itabaki kwenye Mfumo wa Mwili mpaka Saa 5 usiku
Lengo ni kuacha kafeini Masaa 10 kabla ya kulala
Vinywaji vingi ipo
4 Masaa bila Mazoezi
Mazoezi Makali karibia na Muda wa kulala, huleta Ugumu kulala Mapema
Lengo ni kufanya Mazoezi asubuhi kama Unaweza
Au labda ratiba yako iwe haikaribiani na Muda wa kulala
3 Masaa bila chakula
Unavyomeng'enya chakula Mwili wako huongezeka Joto
Lakini Mwili wako Unahitaji kuwa na Joto la Chini Ili upitiwe na Usingizi
Ondoa chakula Masaa 3 kabla ya Kulala kuboresha Usingizi Bora & Homoni kuimarika
2 Masaa bila Kazi
Akili yako inahitaji Muda wa kupumzika Kabla ya kulala
Maliza kazi zako Masaa Mawili kabla ya kulala, tafuta ratiba ya usiku itakayokuwezesha kupumzisha Akili
1 Saa bila Mwanga wa blue (Simu, Pc nk)
Mwanga wa vifaa vyako vya Umeme hutuma signal kwenye Ubongo kuwa ni Muda wa kuamka
Inapumbaza na kuharibu Uwezo wa kuwahi kulala
Ondoa simu Saa Moja kabla ya kulala kuboresha Usingizi, na fanya meditation Kitandani
Ukifata Huu Mtiririko utafikia Lengo la kulala Masaa 8-10, Nakuahidi Ubongo wako & Mwili utakuwa Bora Zaidi kuliko Nyakati zote
Nifollow @ommyfitness
Kwa Video za Mazoezi Follow Me;
Tafadhari Subscribe YouTube
youtu.be
TikTok;vm.tiktok.com
Instagram;instagram.com
Facebook page ; facebook.com

جاري تحميل الاقتراحات...