5 تغريدة 25 قراءة Apr 07, 2023
Jaribu kwenda kwa restaurants tofauti na uwa approach kwa kuwaambia unaweza kuwasaidia urahisishe kazi zao pamoja na kuongeza customer sales, retention & engagement.
Wakikubali, tumia these Free Tools ku automate process nzima
1. Typeform
2. Airtable
3. MailChimp
4. ChatGPT
🧵
1. Typeform
Mteja akimaliza kula, kabla mhudumu hajampa bill, mteja ataambiwa kwamba, akijaza form yao online kuhusu experience yake kuhusu chakula, mteja atapata discount ya 5%-10%.
Kwenye form kutakuwa na
1. Jina
2. Email
3. Namba
4. Experience yake
5. Rating ya service
2. Airtable
Airtable ni kwa ajili ya ku save data ya wateja wote waliojibu. Unaweza pia kutumia hata excel ni wewe tu ila Airtable ni nzuri zaidi.
3. MailChimp
Ukisha save kwenye Airtable, mteja aliyejibu kwenye form atatumiwa Email ya discount code yake automatically.
4. ChatGPT - Newsletters
Ili uhakikisha utaendelea kulipwa kwa muda mrefu, ukishapata details za wateja, uta offer mgahawa service nyingine ya kutengeneza weekly updates kuhusu restaurant hiyo ambayo utakuwa unawatumia wateja kwenye emails zao.
Sample ya nilichoandika.
Customer retention ni muhimu kwa mafanikio ya biashara yoyote.
Ukiweza kusaidia biashara kutengeneza a more personalized experience that leads to increased loyalty and higher customer satisfaction kuna uwezekano mkubwa utalipwa any amount unaona unafaa kulipwa at almost 0 costs.

جاري تحميل الاقتراحات...