24 تغريدة 19 قراءة Jan 11, 2023
NILIVYO DATE NA MWANAMKE WA MCHEPUKO WA MCHUMBA WANGU.
TRUE STORY:
UZI🧵
Kuna Mwaka nilienda mkoa wa Arusha kwa lengo la kutafuta maisha, Nililifikia kwa ndugu yangu ambae yeye ni Mfanyabiashara katika ofisi moja maeneo Yale, basi nikafika pale na kwakua nilishakua na mawasiliano na ndugu Yule hivyo alikua anatambua fika ugeni wangu una lengo gani.
Basi jamaa akawa anatoa support za hapa na pale nikaishi pale kwa muda pasipo kufanikisha, jamaa akawa ananitia moyo kuwa mvumilivu na kutokata tamaa basi bhana mtaani pale nikafahamika sana kutokana na style yangu ya uvaaji na haiba yangu ya kutokua muongeaji.
Nikafahamiana na baadhi ya watu pale mtaani wakiwemo mabinti kadhaa nlio watafuna mambo yakawa kama hivyo, katika hizo harakat nikakutana na mdada binti ana age ya kawaida tu . Mzuri sana kiufupi Mrembo akanivutia sana nikamtongoza na kuingia rasmi kwenye mahusiano.
Tuliongea mengi kama uaminifu na upendo inabidi vitawale kwenye uhusiano huo, tukaishi kwa furaha na amani kiasi kwamba mtaani wakajua Fulani n Mali ya Fulani, muda ukaenda mpaka pale mambo yalipo anza Kuchange kwa Mwanamke ila hakua ana onyesha dalili za kua kachange.
Ila nili hisi ana uhusiano na mmoja Kati ya madereva wa serikal aliekua napatikana maeneo yale tulokua tuna ishi , basi nikawa na mchunguza kimy kimy bila ya yeye kujua , dereva yule alikua ana uchangamfu mwingi sana kila tukikutana au akitukuta Mimi na Mwanamke wangu..,
alikua hawezi nipita njian bila kunisogeza niendako. Basi nikakomaa kuchunguza kwa muda nikafanikiwa kuhack simu yake na kuanza kupata taarifa nilizokuwa nazitaka muda huo na nishapata kibarua nimepanga na Mwanamke kahamia geto Yani tunaishi pamoja. Nilivyo hack Ile simu niingia.
whatsap na kukuta ana chat na mens kibao na kutumiana ndolilo bila kuuliza Nilishangaa sana kwasababu yule binti alikua ni mwenye furaha muda wote na kunijali wala hakuwahi nivunjia heshima ndani na nje kwa jamii, nikawaza nini kimempepelekea yeye kuchepuka kama ni chakula..,
mavazi na huduma zingine nazifanya kadri ya uwezo wangu , chumbani na mpiga show had kuna muda anakua anatetemeka miguu na ukimgusa anaomba kupewa pole Kwa kuchoka kwake na kutosheka . Basi moja kati ya aliokua ana chat nao ni huyo derva wa serikal nikafatilia chat zao.
Nakubaini Mshikaji hua anatafuna Mwanamke wangu , nikaumia nakupigia moyo konde kua Mwanamke ni wangu na nisha mpenda so ni kudeal na dereva ili na yeye apate maumivu kama yangu, siku muonyesha Mwanamke changes zozote nikatulia tukaishi poa Ila kwa maumivu makali.
Mshikaji akaendelea anakuja home pale nje tunapiga stor na kucheka then anamsalimia demu wake na kusepa zake ,me akat huo nawachora tu nikajua mida huwa Wanawasiliana sana ni saa moja usiku hadi saa 2 time napokua sipo home, basi siku hio jamaa kamtext Mwanamke whatsap waonane..,
Akidai Kumkumbuka sana Mwanamke kachomoa yupo period so hawezi fanya kama n kiss poa , lakin binti hakua period time hio. Nikasema Leo nataka niwaone kwa macho yangu , kwel nikawa nafuatilia hadi wakapanga maeneo ya kukukutania na mimi nika sogea mitaa Ile hauikua mbali sana..,
Na tulipokuwa tuna ishi , nikakuona Mwanamke kafika pale kaingia kwenye gari wakakaa mle kama dakika 40 hivi Mwanamke akatoka na kurud home, mimi nika rudi bar nlipokua nimetulia na jamaa zangu nikapiga mbili tatu nikarudi home. Nikapokelewa kwa shangwe lile lile la siku zote.
Akaandaa msosi tukala na kudozi akanza taka mchezo nikamwambia nimechoka tutafanya monii, basi pakakucha nikatimka had job na kuanza kumuwazia jamaa nimfanyie nink, nikabaini kuwa jamaa ana mke na mtoto mmoja so ni iguse familia yake ili na yeye aumie de same au zaid.
Nikaamfuatilia sana hadi kumjua mkewe nikaamfuatilia na kubaini anapofanyia kazi na kuanza kujenga mazoea nae ilinichukua muda sana had kuweza kuzoeana nae kama mteja wake pale ofisini kwake na kumtongoza had kunikubali si chini ya miez 3 , Sikuwa na Haraka kabisa.
Hususa kumwaminisha kuwa mie ni Mtu sahii maishani Mwake Kwa kuwa nilijua mke wa Mtu kupeana mabusu tu ilichukua mwez na kitu tena, basi nikawa naipasua hadi baadhi ya watu wakaanza kushuku na kumfikishia taarifa jamaa.
Mahikaji akanza ni winda Baada ya kupata tarifa zangu mtaani Lakini maeneo ya home haji na akaona amwambie Mwanamke kuwa natoka na mke wake, maana Mwanamke alikuwa nafahamu kuwa mchepuko wake ni mume wa mtu hilo liko wazi Sijui hata ilikuwa vipi akanasika Ok.
Mwanamke akaniuliza nikamkatalia kata kata, akanisihi niwe mwaminifu mbona yeye hama hizo mambo ,Nika mjibu poa siku ya siku jamaa kanifuata na kuniuliza nika mjibu ndio natoka nae akaleta vurugu tuka amuliwa.
Nikasema mkeka umetiki sasa Nika screenshot Charting ya jamaa yote alokua ana chat na binti nika weka status bila kuandika kitu afu nikazima data , Na niliweka kitufe Cha kusoma yeye pekee status Ile mida narud home nikawasha data nikakuta Mwanamke Ka view.
Afu hakuwa ka koment kitu, nikarudi home nilikuwa nimekula kabisa nisije tiliwa sumu, nikamkuta Mwanamke kapika mapema na kujilaza sebulen kuniona tu akapiga magot na kuanza kuomba msamaha nikamwambia nime kusamehe muda sana na ndo maana nipo nae mpaka muda wote.
Hakulala alikesha analia asubuh naenda mtingo na jion kurud nakuta wito wa viongoz wa mtaa nikaenda na Mshikaji akaitwa na familia yake kisha tuka zungumza Yote yaliwekwa wazi kwenye kikao chetu hicho nilikuwa kimy sana muda mwingi nilisema nikama hivyo.
Hitimisho mimi nilikua nataka tubadirishane wake Mshikaji achukue wangu na mimi ni chukue wake , Mshikaji akazua ugomvi mkubwa hadi watu na polic wakafika Ila mimi nikasimamia pale pale.
Jamaa akawekwa ndani kwa muda mm nikatulizwa nje tukaitwa tena nika komaa na msimamo wangu jamaa akaanza kelele tena hatimae tuka yamaliza kila mtu abaki na wake na binti nikampiga chin maisha yaka endelea.
NB: UKILA CHA MTU NA CHAKO KITALIWA.
| Mwisho |
Nashkuru kwa kupitia uzi huu nadhani utakua umejifunza kitu.
Tafadhali nijulishe ikiwa kuna kitu maalum ungependa niandike. Usisahau kulike, Kuretweet , Kufollow @heisbixen na Kucomment.

جاري تحميل الاقتراحات...