ANZA KUJENGA AKILI IMARA.
1. Acha kutengeneza visingizio, kulaumu wengine na kulalamika
2. Kuwa na maamuzi bila kuyumbishwa
3. Tumia akili mara zote unazofanya maamuzi, acha hisia
4. Jaribu kuwa mtu wa kushukuru na mkarimu
5. Jipe changamoto kushinda hofu na shida
6. Sikiliza majibu ya chochote bila ya wasiwasi
7. Elewa mahali pa kuomba msaada, usiombe kila mahali na kila mtu
8. Anza kujenga uelewa wa kihisia na tawala hisia kwa kusali, meditation, andika, mentor, fanya mazoezi
9.Jaribu kuyaona mafanikio yako ya baadae
10. Tafuta kujiboresha na jipende & jikubali ulivyo

BORESHA UJUZI WAKO KIJAMII.
11. Take risk mara nyingi
12. Kuwa comfortable kuonekana mpumbavu
13. Jenga usugu wa kukataliwa, kataliwa zaidi
14. Jifunze kuongea na mtu mgeni
15. Jifunze kutawala misingi
16. Kuwa msikilizaji mzuri
17. Kuwa na misimamo, weka mipaka imara
PENDELEA HAYA.
18. Jenga hobby ya upendo
19. Tembea kuyajua maeneo
20. Soma sana vitabu (group lipo)
21. Angalia movies zinazofundisha tu (sio tamthiliya)
22. Jifunze kusimulia kitu, anza kujielezea mwenyewe

JIFUNZE KUTANIA KIMAPENZI.
23. Toa amri, usitoe chaguo au swali
24. Mshobokee halafu mpuuzie (repeat)
25. Usiwe muoga kuongea kuhusu sex
26. Hakikisha huogopi
27. Mtoe maana kiutani
28. Parody chode
29. Muulize maswali kujiridhisha
30. Msisimue kimahaba
KUWA IMARA KIMWILI KUMZIDI.
31. Jenga misuli kwa weight training, ngumi na michezo
32. Jifunze kupika, acha chips, mikate, pizza, soda na pombe
33. Punguza punyeto na video za ngono (vinaiba nguvu)
34. Pendelea kulala masaa 7+
35. Tambua vitu muhimu vya kula siku

UJUE MUONEKANO.
36. Vaa viatu vya leather, sneakers kwa mazoezi
37. Vaa koti sio hoodie
38. Usivae t-shirt zenye machata, jezi au jeans ya kuchanika
39. Tambua rangi inayokupendeza
40. Tambua perfume inayoendana na wewe
JENGA BODY LANGUAGE YA KIUME
41. Usiegame
42. Usiweke mikono mbele unavyopiga picha au ukisimama
43. Usifiche mikono yako

WAJUE WANAWAKE VYEMA.
44. Msikilize bila kumsaidia matatizo yake
45. Usichukue anachokisema, elewa anachomaanisha
46. Elewa kuwa muda anamaanisha anachohitaji na wakati mwingine anakupima kama huna akili na unaweza kulaghaika
47. Elewa anahitaji drama ili ajione hai
48. Elewa mwanamke hana makosa kabisa, kila kitu ni makosa yako
49. Atajaribu kujifanya muhanga lakini remain kimya na mpende

KUWA BORA KUMSHAWISHI & KITENDO
50. Jifunze kucheza na akili yake
51. Elewa jinsi ya kumuingia na kutoka
52. Weka kidole vyako viwili mdomoni kwake wakati wa sex
53. Jifunze kuongea upuuzi na matusi
54. Mchezee kujua sehemu za raha
55. Kumbuka kupeleka moto wakati unamuangalia.
Usisahau Kunifollow na ku,turn on Notification ๐
>Likeโค๏ธ
>Repost๐
>Comment!

ุฌุงุฑู ุชุญู ูู ุงูุงูุชุฑุงุญุงุช...