Swed Junior
Swed Junior

@Kingvannytz_

12 تغريدة 4,202 قراءة Aug 10, 2024
HIZI HAPA SMS KUMI TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️
Nb: Ukizitumia atajihisi mwenye bahati kuwa nawe 😊
01. Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daima
atakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema.
02. Upendo ni tiba maradhi hukimbia. Salamu ni shiba biriani yazidiwa. Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. Kwa furaha na mahaba sichoki kusalimia. Usiku mwema
03. Salio la macho yako halitoshi kuendelea kuona kwa sasa tafadhali tandika kitanda na ulale,kwa maelezo zaidi subiri usingizi ukolee uote ndoto nzuri. usiku mwema!
04.Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…!!
05. Lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie
karima zitimie njozi zako.usiku mwema
Please follow me hivi vitu huvipati kwingine zaidi ya hapa
@Kingvannytz_
@Kingvannytz_
06. Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daimaatakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema.
07. Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia wala si kimya kinachotawala mazingira bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio. Nakutakia ucku mwema
08. Upendo ni tiba maradhi hukimbia. Salamu ni shiba biriani yazidiwa. Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. Kwa furaha na mahaba sichoki kusalimia. Usiku mwema
09. Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…
10. Sasa ni usiku najua utakuwa umechoka kwa kazi kutwa nzima ya leo,pumzika mpenzi wangu,ukipanga mambo ya kesho ,lkn elexa ki2 kimoja ,hakuna mwingine moyoni mwangu zaidi yako! •
Please follow me
@Kingvannytz_
@Kingvannytz_
@Kingvannytz_
Thank you for your time 🙏

جاري تحميل الاقتراحات...