Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

19 تغريدة 8 قراءة Jun 29, 2024
USHAURI WA KIUME AMBAO BABA ALISAHAU KUKUPATIA..!!
UZI 🧵
Nimeandika uzi nyingi ila huu ni uzi wangu bora.
Shuka chini 👇
Nisikilize mwanangu maisha ya mwanaume ni tofauti na mwanamke
Ni muda sasa umefika nikwambie ukweli mchungu
Mwanaume umezaliwa bila thamani, upendeleo ni kwa wanawake pekee
Unatakiwa usimamie kila kitu, bila kujali ni dhaifu au Imara, mtoto au mkubwa, Maskini au tajiri.
Hakuna atakayekusaidia & wengi wanacheka kuona ukiteseka, Usiwachekeshe
Usiamini kinachosemwa na dunia kuwa wanaume & wanawake ni sawa.
Tunaishi maisha tofauti sana na hakuna anayekuhurumia mwanaume
Pia usilalamike kama mjinga kwa maana ni kujidharirisha.
Uwepo na u zuri wako hauna maana, pia hutoonewa huruma ukifeli, Lakini una uwezo mkubwa kuliko mwanamke
Kama mwanaume ni lazima utengeneze hadhi yako iwe juu,
Unatakiwa uteseke & ufanye kazi Kwa bidii mpaka utakapoheshimiwa & kupendwa na wanawake
Nielewe, haya sio mashindano dhidi ya wanawake ila nataka ufikirie nilichokisema.
Nani anaweza kujenga misuli, man or woman?
Nani anaweza kupata heshima kama BOSS, man or woman?
Nadhani umenipata, wanawake wamebarikiwa uzuri, attention & kujali, wewe umebarikiwa UWEZO MKUU
USIIPOTEZE HIYO THAMANI YA UKUU
Hata ukishindwa, kufa ukijaribu
Ukweli ni kwamba inachukua muda kupata thamani kama mwanaume na kila siku watakudharau lakini lazima walipie..
Achana nao, jitoe fanya Unachotaka kufanya, Maendeleo yako yatawafanya wengine wajisikie vibaya....
... na wataongelea mapungufu yako siku zote ili ukate tamaa na uwe chini kama Wao.
Litambue h, ili, unapojumuika nao Party, kucheza video games & Mambo mengine ya Starehe elewa kwamba umefanya Maamuzi ya kudharau UWEZO na NGUVU yako
Watakwambia tufurahie kidogo...
..Tuangalie movie kidogo, game zinachangamsha, kabla hujakubali,
Tazama maisha yako, Je unastahili kuenjoy? Unapiga Pesa? unaheshimika? Una Mwili uliojengeka?
Kama swali mojawapo jibu ni NO,
Pia jibu lako liwe NO.
Unaweza usipende ninachokisema ila Ndani yako unajua ni KWELI
Ngoja nikuulize, kitu gani kimoja cha muhimu kinachoashiria nafanikio ya mwanaume?
Jibu ni DELAYING GRATIFICATION -Kuchelewa kuridhika
Kubali kuteseka juu ya unachokifanya na subiri matokeo makubwa baadae.
Wengi wanataka kuridhika haraka kama Mbwa na mifupa,
Ni bora wapate skills za Ps5 kuliko kuwa na skills za Maisha
Ni Bora apige punyeto kuliko kuongea na Mwanamke,
Ndio unachokiweza ulaini, uvivu & no Nidhamu
Pendelea Kuridhika Kwa kuchelewa, kutakujenga utashinda vyote.
Ukifatisha Easy & Quick Dopamine , Siku zote utafatwa na Jeneza lililobeba Maiti yako.
kama unavyojisikia vizuri kutazama Porno kisha kujisikia vibaya ukimaliza kujichua
Utajisikia vizuri Sasa, Majuto Baadae
Ukitaka Dopamine halisi lazima ufanye kitu usichokipenda, kufanya mazoezi m, agumu hakutokupa furaha kama unavyowasha Ps5
Lakini utakapomaliza Mazoezi utajisikia vizuri, Dopamine itachachama, na viwango vyake kubaki juu kuliko Jana.
Kucheza Game, ulaji mbaya, Ulevi, Uvutaji, Punyeto itakupa raha ya Muda tu na kujisikia vibaya Baadae.
Huo Mnyororo hautoisha mpaka ukuaibishe. BADILIKA
Unapotaka raha Rahisi ndio Kiwango chako Cha Uanaume hushuka,
Raha sasa, uumie baadae au umia sasa ufurahie Baadae..!
Kuna kitu nataka nikwambie kuwa "UNSTOPPABLE"
Ukiunganisha "Kuridhika Kwa kuchelewa" & WHITE BELT MENTALITY (huu ni mkanda mdogo kabisa wa mapigano)..utakuwa na nguvu sana
Maana ya WHITE BELT MENTALITY nj kila siku uko Tayari kujifunza zaidi, kila siku kama unaanza upya
Jifunze bila kuridhika , maisha yako ni vita
WHITE BELT MENTALITY ni kutoruhusu JEURI iwe sehemu ya maendeleo yako,
Hata kama unahisi unajua zaidi ya mwingine haina ulazima wa kuthibitisha hilo,
Tawala EGO yako na tafuta kitu cha kujifunza kutoka kwake.
Usiwadharau wengine kila siku kuna kitu cha kujifunza..
Usichanganye, Sijasema ufate kila ushauri wa Mtu HAPANA
Ushauri mwingine unafanya kazi kwa Mtu husika,
Usimsikilize Mtu Mwenye KITAMBI akikupa Ushauri wa kupata SIX-PACKS
Ila sio kwenye kila baya hakuna jema.
TAMBUA kipi Cha kujifunza!
Maarifa Gani naweza Kupata,
Kumbuka, mlevi anaweza kukufundisha Nini Cha Kufanya.
Wanaume wengi Hawana AKILI YA MKANDA MWEUPE (white belt), Wakisha jifunza kitu wanaona wanajua vyote.
Ujuaji ni kikwazo cha maendeleo.
Umebarikiwa  UWEZO wa JUU angalia usiupoteze kwa kutaka "Kuridhika Kwa Haraka"
Au kwa sababu JEURI  & KIBURI chako ni kubwa Kuzidi Uwezo wa kukubali na Kujifunza.
Tufollow @MfalmewaX
Repost Uzi umfikie mwanaume
Hifadhi Uzi huu Muoneshe mwanao
Tukutane Telegram (wafalme 7000+)
t.me

جاري تحميل الاقتراحات...