Kayode Olarenwaju ni mchezaji wa kulipwa na maisha ni mazuri & ana sifa zote ambazo wanawake wanataja kuzihitaji kwa mwanaume.
Baada ya DNA imethibishwa hao watoto 3 wote (pichani) sio wake licha ya kuwalea mpaka wanafika hapo.
Mke wake hakuwahi kuonesha dalili zozote za usaliti. Napost sana juu ya suala la kutomuamini mwanamke hata kama anakupenda vipi huwa mnaishia kutukana tu na kudhani siyajui mapenzi na wewe ndio unayependwa sana.
Akili huna, hela huna, mwili wa mazoezi huna na kujifunza "women psychology" hutaki
Narudia haya kifupi;
1. Wanawake hawajali jinsi unavyojitoa kwao kama hakupendi hata uumpe dunia, atakuigizia tu na kuendelea kukutana na mtu anayempenda kweli. Hivyo kama unataka mke acha kutumia hela kutongoza wanawake kwa sababu hakuna mwanamke atakayekutakaa ila mwisho wake utapoteza muda na pesa.
2. Epuka kumuamini mwanamke hata akiongea kwa machozi, hii ni dark psychology anaweza kuomba msamaha au kujieleza kwa kulia mpaka ukajihisia mkosaji lakini ukizifata hisia zako mwisho wake utakuja kuumia. Bakia kama jiwe muangalie halafu Endelea na mambo yako.
3. Usimsamehe mwanamke kosa ambalo yeye mwenyewe anajua hastahili kusamehewa, unaona wanachat na mtu kimapenzi halafu bado unamuuliza huyu ni nani? Unataka akujibu nini kama sio uongo? Acha kuforce vitu na move on, kuna millions ya wasichana wanakusubiri.
4. Siku zote Jifunze kumaintain uhuru wako, Jifunze kutomtegemea au kuwa attached nae. Moja, wanajali hisia zao na sio sacrifice zako, pili, wanabadilika muda wowote licha ya jana kukupa sex, tatu mitandao kila siku inawafundisha kitu kipya, nne usisahau ana marafiki na ndugu ambao hawakupendi, tano, kuna siku utayumba na utamuhitaji wakati yeye hakuhitaji utaanza ku act desperate then boom ataomba distance.
5. Kama utakuwa umezaa nae kweli, kumbuka ndugu zako ni watoto wako sio mama mke wala dada zake. So mkiachana acha kutafuta taarifa zake na akitumia watoto kama silaha remain stoic, Fungua account watoto wawekee hela zako, Lipa Ada kupitia shule, fanya matumizi juu ya watoto na Tunza risiti kuna siku utazitaji. Kumbuka mwanamke sio ndugu yako, ndugu yako ni watoto tu. Hivyo Punguza mazoea na familia yake wanajua kila kitu na wanakuchora tu.
6. Usipuuzie past ya mwanamke, ndio maana Nasema Tafuta bikra au mtu aliyekuwa na mahusiano na watu wasiozidi wawili. Kadri mwanamke anapolala na wanaume wengi uwezo wake wa kuconnect kihisia na mtu mpya unapungua, sasa fikiria wewe ni mtu wa tano kwenye maisha yake na unategemea muanzishe familia. Pili, wanawake wanaweka bench mark, huwa wanatabia ya kulinganisha nani ni bora kwenye sex kuliko mwingine hivyo kama utapuuzia ninachokisema utajikuta unalinganishwa na wanaume 10 waliompitia na bado huwezi kumridhisha kuliko Juma hapa hata umpe mamilioni atarudi kwa Juma tu apate alichokuwa anapewa na utaishia kulea watoto wa sio wako.
7. Mwisho, Usifate kanuni na sheria na movies na simu, Netflix na TV show hazina mahusiano halisi, mahusiano halisi na mwanaume anavyotakiwa kuwa ni hichi unachokisoma, zile ni filamu tu kama huamini Jaribu kukimbia slow motion kumfata ili umkumbatie.
Mahusiano ni kazi kama mazoezi na utafutaji wa hela kwa mwanaume, siku utakayopumzika ni siku utakayosalitiwa.
Kumbuka kumkanya punde anapokuletea dharau au kukukosea, ukiona hataki kuelewa Acha kumuelewesha na move on kwa sababu unaishi na mke wa mtu.

جاري تحميل الاقتراحات...