USIPUUZIE HAYA 12 KWENYE MAHUSIANO ;
1. Usifungue biashara kwa jina la mwanamke
2. Usimsomeshe mwanamke ili uje umuoe
3. Usimpeleke mwanamke jeuri nje ya nchi
4. Usijipe majukumu ya Baba kwenye uchumba
5. Wanawake ni waaminifu kwa hisia zao sio kwa kujitoa kwako
6. Mwanamke anaweza kuamka na akasema "tuachane" na dunia ikamsikiliza
7. Mwanamke akikusaliti hata ukihisi tu, achana nae
8. Watoto wako ndio soulmate wako sio mwanamke
9. Ukichagua mke wa kuoa, umechagua hatma yako
10. Kama mwanamke hapa banjo mahusiano, hana interest na wewe. Achana nae.
11. Akijibu text yako kwa neno moja, nakushauri muache kabla hajakuacha
12. Mwanamke akikulazimisha umuhudumie kwa sababu ni mchumba wake, achana nae.
#Brotherhood

Jiunge nasi Telegram
t.me
t.me
جاري تحميل الاقتراحات...