Beno Lyimo
Beno Lyimo

@iAmLyimo

5 تغريدة 1 قراءة Jan 24, 2024
Viazi vinatoka clean alafu vingi 🔥🙌
Kitu ambacho watu hatuelewi, ni kwamba unaweza kupanda Chakula kama mapambo
Mfano kuunganisha nyanya na viazi kuwa Mti mmoja (Mti juu unatoa nyanya chini viazi)
Au picha ya hapo juu
Hizi Huwa ni ornamentals tuu sio kwa ajili ya uchumi
Hasa kwa watu wa mujini.
Possible 💯
Science ipo na inafanya kazi 🙌
Hii ni science, tunafanya embe lizae ndani ya miaka mitatu na sio 11
#Grafting

جاري تحميل الاقتراحات...