14 تغريدة 9 قراءة Sep 25, 2023
NIPEWE RUHUSA NIONGELEE KUHUSU ALICHOSEMA NANDY.
UZI🧵
1: Mpenzi wako sio Mkeo wala Mumeo .
2: Mwanamke Anakumbuka aliyemtendea wema wa mwisho wala sio wa kwanza .
3: Sio kila Mpenzi ni Mpenzi wengine watazamaji.
4: Unahitajika Baba au Mama mzuri kwa wanao sio kivutio .
5. Mtu anaweza ishi sehemu mbaya kwa kutojipata kwake na akishajipata hatakubari kwa wengineo kuwa alikuwepo.
6. Usiogope kuanza upya tena kwenye haya maisha ikiwa unaishi.
7. Unastahili Upendo maishani na vitu vizuri.
8. Hakuna mwanaume anayeweza kubali mwanamke wake akitaja Idadi ya Ex zake hatakama wanajulikana.
9. Ndoa sio chakula kiasi kwamba muhim kila mtu ale ndomana wengine zina waangamiza.
10. Jitahidi sana Mtu wako awe wako pekee sio kila kitu unataka Rafiki aongelee.
11. Sio kila Umpendae ata kupenda kwa maisha yote.
12. Bahati mbaya hata utumikapo wengine wanahisi unapendwa.
13. Ukiachwa kubali kusahau.
14. Ukiona Sio muongeaji usitumie chance ya kumpigia kelele.
15. Uwenda alikuwa na wengi kabla yako ila awapo maishani mwako mpe thamani yake.
16. Ogopa sana kusema neno nakupenda huku ukimpenda mtu tofauti na asikiaye.
17. Jua una uhusian na mtu wa aina ipi usije fanya vitu kuonekana unampenda na akajua unaigiza .
18. Muombe Mungu sana uweze kujua pakuvumilia na pakuondoka.
19. Tafuta Pesa zako usitegemee za mwenzako.
20. Unaweza Pewa pesa kila kukicha na usiwe umependwa moyoni mwake tembelea Bar na Gest.
21.Anaweza asiwe anakupa pesa alafu ndo ukawa kipenzi rohoni mwake au kutokuwepo kabisa muhimu uteseke.
22. Kuwa makini na huyo mtu wako kuwa wa miaka mingi sio kigezo wengine wanaoana wana wiki huku .😄
23: Hisia Zinabadilika Pia sio Jua na giza tu.
24: Usilazimishe Mapenzi wengi sio wako ata Iwe.
25.Wengi wenu mna mahusiano na wapenzi wa watu .
26. Mtu akifunga ndoa ana takiwa kuanza upya .
27. Aliyekuoa Kakupa thamani hupaswi tambua umuhimu wa Ex
28: Mwanamke anapo kubar kuolewa anakuwa amebeba na madhaifu ya mumewe.
29. Usioe mtu ambaye hajamaliza vitu vyake.
30. Ex ni Ex tu hata kama alikuwa Mzuri.
31. Marehemu Akifa hana Chake .
32. Usitelekeze familia yako wazuri wataendelea kuwepo penda familia yako .
33. Sio kila mtu ata kupenda uwapo na pesa kuna wakupendea kutumia pesa zako.
Unaweza Bookmarks hii Tweet huenda ukahitaji haya mawazo siku moja au kumsaidia mwenzako.
| Mwisho |
Nashkuru kwa kupitia uzi huu nadhani utakua umejifunza kitu.
Tafadhali nijulishe ikiwa kuna kitu maalum ungependa niandike. Usisahau kulike, Kuretweet , Kufollow @heisbixen na Kucomment.

جاري تحميل الاقتراحات...