Hii ni doxycycline, tumia kabla ya tendo la ndoa na utanishukuru baadaye. Mkakati wa afya ya ngono unaitwa doxy-PEP, ambapo watu wenye historia ya maambukizo ya zinaa hutumia doxycycline baada ya tendo la ngono bila kondomu, na hii ina ufanisi mkubwa.
Kutumia dawa ya kumeza ya antibiotic ya doxycycline kabla au ndani ya siku tatu baada ya ngono bila kinga kumesaidia kupunguza hatari ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa kwa wale walio katika hatari kubwa. Pia usisahau PrEP na PEP.
PrEP na PEP ni dawa ambazo hutumiwa na watu ambao hawana VVU kabla na baada ya ngono ili kupunguza hatari ya kuambukizwa na VVU. Kila dawa inapaswa kutumiwa pamoja na maji ya kutosha.
Mwisho
Kumbuka kila dawa inapaswa kumezwa pamoja na maji ya kutosha (+1 lita) ili kuhudumia vizuri figo zako.
Asante kwa kufuatilia somo hili usisahau kunifollow @FJinyami kwa habari za afya zaidi.
Kumbuka kila dawa inapaswa kumezwa pamoja na maji ya kutosha (+1 lita) ili kuhudumia vizuri figo zako.
Asante kwa kufuatilia somo hili usisahau kunifollow @FJinyami kwa habari za afya zaidi.
جاري تحميل الاقتراحات...