Sisi kama @Garishop_Tz Tunafahamu kuwa kununua gari ni uwekezaji mkubwa. Kwa hiyo, tunajitahidi kuweka mteja mbele kwa kutoa huduma nzuri na faida nyingi
Unapofanya kazi na @Garishop_tz, unafaidika na uzoefu wetu wa kitaalamu, uaminifu wetu, na huduma ya haraka na ya kuaminika.

.. Tuko hapa kukusaidia kupata gari linalokidhi mahitaji yako kwa bei nzuri.
Kwa mnunuzi wa gari kumekua na vitu vingi sana muhimu vya kuzingatia kabla haujafanya uamuzi wa kumlipa mwenye gari
bahati nzuri vingi nilishavisema hapo kwenye pinned tweet kama kuuziwa gari ya ZNZ

mnunuzi wa gari huu mchakato unatakiwa uuchukulie seriously. DONT IGNORE documents. kwa kawaida dealer anatakiwa kua na documents zifuatazo ambazo atazikabidhi kwako.
Ambazo @garishop_tz hizi documents kumpa mteja na kumueleza maana na umuhimu wake ni wajibu wetu 🤝

.. la meli, namba ya meli, bandari ilipopakiwa na itapofikia, na maelezo mengine ya gari.
Mteja anahitaji hati hii kuthibitisha kuwa gari yake imepokelewa kwa usalama na kwa mujibu wa makubaliano ya usafirishaji.

.. kifedha, mahitaji ya forodha, na kuhakikisha kwamba amelipa kiasi sahihi kwa gari alilonunua.
Bro kama umenunua gari imetumika hapa Tz na mmiliki kakwambia “hii gari nimeagiza japan” na hana hata document moja wapo hiyo nayo ni 🚩
ila wengi hua wanapewa cheti na maneno tu.

inaonesha grading ya gari/ Alama, ukiona “S" ni (Excellent),"4" (Good), na "3.5" (Average), na kadhalika.
⚠️: Zingatia
Auction sheet sio kila Dealer wa japan anazitoa kuna wanazozitoa na ambao hawatoi kutoka kana na sheria zao huko.
Na hapa ndio huruma ya dealer wako ..

inahitajika zaidi. kuna ambao ni wakwei na wengine wanatake iyo advantage kukwambia hawajapewa japan kumbe wamepewa ila gari haina viwango wanakuficha.
Ili usije ukanunua chuma chakavu, @Garishop_Tz hua hatumpi mteja gari ambayo hata sisi hatuwezi kununua kwa uzoefu wetu kupitia

Madealer wetu wa japan tumeunda utaratibu mzuri utakao mainisha alama za ubora wa gari na hali yake kwa ujumla kama hiyo gari haitokua na auction sheet.
Ambao wewe mteja utashilikishwa ili kutoa maamuzi ya mwisho 🤝

Kuna njia nyingi ambazo tunatumia kujua grading/ Alama za gari.
Unaweza ukatbelea wetu wa Instagram ukaone ubora wa kazi zetu tunatumia jina GARISHOP_TZ
Hizi documents zote apo ni muhimu uwe na taarifa zake, kama hamna huambiwe ni kwanini hazipo wakuu ni muhimu.

Na kwa hapa TZ ni muhimu kumuomba anaekuuzia gari akupe kama hana ata moja ni big 🚩 kuna uwezekano gari ikawa imepitia kwnye mikono mingi sana au Jecha
Wateja wengi wakiomba hizi documents hasa kwa local used cars unaweza ukaonekana msumbufu kwa muuzaji asiejali hela yako 🤝

Kwa kumalizia kama umepitwa na madini magari, reviews, na ukaguzi wa gari angalia kwenye tweet yangu ambayo iko pinned.
Hakikisha umeretweet iwafikie wengine na kuniffolow ili usipitwe na Threads zijazo 🚗🕺🏽 📞& Wosap : 0755838047
Cc: @Garishop_Tz

جاري تحميل الاقتراحات...