Trailer ya Movie ya Matrix ilipotoka 1999,
Kampeni za Masoko zilizoitangaza hiyo Movie zilitumia kauli"MATRIX IMESHAKUPATA WEWE"...,
Nikakumbuka kauli ya @Cobratate
aliposema "MATRIX IPO KWELI"
Movies huwa zinaelezea kinaendelea kama "MEN IN BLACK" ni alien
Ni kweli kabisa.

Tate anasema Changanua kila unachoaminishwa na uliza kila kitu..siwezi post video yote ni ndefu
Angalizo
📌 Nitatumia Biblia kuelezea zaidi
📌 Usidharau Dini ya mwingine ukishamaliza kusoma
TOROKA, Ukweli juu ya Matrix na kwamba ipo inafanya kazi hata Sasa.

Mipango ilianza toka 1800, tumechelewa kujua kwa sababu hatuoni tunachotakiwa tuone, tunaona wanachotaka tuone
Kauli ya "Matrix has you" ilinifanya nirudie kuangalia movie ya Matrix mara kwa mara ila bado sikuelewa chochote.

Niliirudia tena na tena kwa sababu nilipenda mapigano yake lakini sikuelewa chochote nikadhani ni "Uongo tu"
Baada ya muda kidogo, nilihisi Kuna kitu..
Niligundua matrix sio fiction ila inaelezea ukweli, tangu umeweza kuongea, mpaka umekuwa mkubwa matrix ipo nawe. NI UCHIZI

Ukiachana na ngumi, kila kinachoongelewa mule ni ukweli mtupu
Ila hakuna mtu anajua maana ya matrix,
Wengi wamekwama kwenye matrix kwa sababu hawajui Ukweli juu ya Matrix & huwezi kutoroka kama hujui umefungwa.
Utajua matrix ni nini, dunia inaenda vipi, nini uzingatie ujitoe

Nataka ujue kama ni mzima leo basi 99% ya maisha upo kwenye matrix.
MATRIX ni gereza la akili, inayofungwa ni akili. Hili ni gereza hatari kwa sababu huoni kama umefungwa. Gereza la kawaida unajua nimefungwa.
Gereza la akili, huwezi kujua na huwezi kukimbia usichokijua.

Gereza la akili ni ngumu kutoroka, hapo inabidi ukumbuke maisha yako ya shule vitu vingapi umefundishwa na kuamini? Kumbuka umeangalia video ngapi & music umesikiliza mara ngapi? Rafiki & wazazi wako Wana ushawishi Gani?
Matrix imefanya jambo dogo kuwa tatizo kubwa ili tuogope

Leo unaambiwa Hofu ya "KUTONGOZA" ni Mental health, Nikajua Matrix imeshafunga watu, hawezi kufikiria tena, huwezi kuchanganua japo kidogo ila unafata ulichofundishwa darasani, Maandiko yameandika usiogope Kwa sababu HOFU imeumbwa kwetu.
Nani haogopi? Basi wote ni wagonjwa
Nani haogopi? Basi wote ni wagonjwa
Wazazi wako, walimu, ndugu wamedanganywa kiasi Gani Kisha wakakwambia na wewe? Hivi vitu ni ngumu kuelewa mpaka utajapovunja layer nyingi Sana Matrix, Nitajitahidi kuelezea ulivyokamatwa na Matrix bila hata kujua.
Kwenye movie wanasema "Ulimwengu halisi uliisha toka Karne ya 20"

"Ninachotokea sasa ni program tunayoiita Matrix, Unachokiona sasa ni ndoto tu ila Ulimwengu halisi ni 'Spiritual world' Ulimwengu uliochafuka sana na wenye giza"
"Matrix ni utawala, ni kompyuta inayokupa ndoto ili kutawala na kumbadilisha wanadamu kuwa betri"
"-" Maneno ya muvi

Inaweza isikupe maana ya matrix ila Itakuwa imekupa Mwanzo kidogo.. Matrix ni nini, ni Kutawala ila sio kuhusu kompyuta lakini ni Program,
Program gani? Program ni mpangilio wa majukumu au Shughuli kwa malengo makubwa ya muda mrefu.
Hapo ndipo tupo ndani, hapo tumefungwa

Tumekuwa tukiongozwa na Shughuli au majukumu fulani kwa malengo ya muda mrefu baadae. Shughuli ambazo hatujaziweka ila ukijielewa tu lazima uzifate kama kwenda shule.
Ndio maana kubadilisha Mfumo wa elimu sio rahisi kwa sababu Dunia halisi iliisha Karne ya 20 na sasa ni 21

Kwenye movie wameongeza Mashine tu zinazopigana na binadamu hapo ndio watu walipuuzia Ukweli kuhusu Matrix.
Lakini Bado kwenye Movie Hizo Mashine zilitumia "Ubongo" wa binadamu kama Chanzo Cha Nguvu zao- hapo bado utaona Maana ni ile ile kutumia wanadamu kama mabetrii

Matrix ni dunia iliyoumbwa ili kukuvuruga usione ukweli, ni ulimwengu ulioumbwa ili kukudanganya na wakati huo huo kukushawishi kuzalisha nishati hasi kukaribisha NEW WORLD ORDER
Mfano, wanaotetea Ushoga, kuamini dawa ndio kupona, hivi mnajua Kuna Nini Nyuma ya "HAKI SAWA"?

Labda sasa inaweza kuingia kichwani kidogo Kwa kuwa NEW WORLD ORDER ulianza kuisikia toka mtoto ila huoni kinachotokea, Kwa sababu huoni sio kama hakuna kinachoendelea ..IMESHANZA KUTOKEA SASA.
Kama wewe ni mpya kwenye mambo haya..Ukweli wa Vita hii ni Shetani kutaka kuwa mkubwa

Na sehemu ya matrix inasema kuamini na kukubali kuongozwa na Biblia huko ni kuongozwa na Matrix, je ni kweli Biblia ni kifaa kinachotumiwa? HII SIO KWELI.
Kama hiyo ingekuwa kweli, basi kusoma Biblia kungehamasishwa kila Mahali kama wanavyohamasisha haki Sawa 50/50 & LGBTQ

Wanaoamini biblia ni kifaa kinachotumika basi fanya Tafiti zako vizuri, Biblia ni Kitabu kinachopingwa kitu kinachopelekea viwanda vyake vingi kufa.
Watu wanaambiwa wasisome, Pia Biblia inatumika na watumishi waongo kudanganya Dunia. Hii yote ni kuifuta Biblia duniani

Turudi zama za Utumwa, watumwa hawakupewa Elimu & hawakufundishwa biblia ila watawala walitumia mistari ya biblia kutawala, hii sio zamani hata Leo inatokea.
Hawakwambii usome Biblia ila kila ukienda kanisani unasomewa na kupewa mistari wanayotaka wao & kukupa maana ya uongo

Turudi kwenye MATRIX
Mgogoro wa haya yote ni kutaka "Shetani kuwa Mkuu & Mwenye Nguvu"
👉 Soma isaya 14:12-14 , utaona Malengo na Mtazamo wa Shetani.
Anatumia Familia zenye nguvu, wasanii wenye nguvu kama Michael Jackson, Lil Uzi vert n.k kupandisha utukufu wake..

Sio wasanii wote huuza nafsi zao ili kufanya vizuri ila wengi huitwa baada ya kufanya vizuri tayari kama Michael Jackson na ukija kushtuka mbona inazidi ndio utaundiwa kesi nzito kama R.kelly au Kifo.
Nani haogopi Aibu, ndio maana matajiri hawana Chaguo, awe Tajiri au kufirisiwa

Wanatumia matajiri, wenye nyota & Roho za kishetani kusimamisha Ajenda ya NEW WORLD ORDER, Nadhani hata Andrew Tate walimshawishi pia.
Kama unaamini Biblia nadhani sijakuacha , kama huamini Biblia usijari Jiulize tu kwanini familia zenye nguvu zinaabudu Shetani?

Wanaeneza mwanga juu ya illuminati- Kwanini Mwanga, Lucifer Maana yake ni light bearer, hivyo lengo ni kueneza Mwanga wa Lucifer. Hii imeelezwa na Albert Pike freemason huyu mwenye degree 33 kwenye Kitabu Cha "Morals & Dogma"
Kifupi Shetani anataka kuwa Mungu wa Dunia hii.

Ndio maana kuwa wengine waliouza nafsi zao kwa ajili ya pesa na umaarufu wakipewa lengo Moja tu kueneza huo Mwanga, na kuna walionunuliwa Kwa lengo Hilo Hilo na kuahidiwa kupewa kila kitu ila ukizingua ndio hapa utaundiwa kila kesi Ili upotezwe Mazima au kuuliwa kabisa.. inatisha
Kuelewa hili Lengo itakufungua juu ya Maana halisi ya MATRIX,
Nilisema ni ulimwengu ulioumbwa ili kukupoteza kwa kukudanganya wakati huo huo unatumika km chanzo cha nishati hasi bila kujua kusimamisha NEW WORLD ORDER.
Linanganisha nishati hasi & Ushetani utapata Maana ya matrix

Biblia ilitabiri Matrix itakuja nyakati za mwisho za ulimwengu
👉Soma 2 Wathesalonike 2: 7-12, huu mstari hata Kama sio mkristo kama Mimi uko wazi kabisa.
Umeona hapa Udanganyifu mkubwa ni MATRIX , Usipojazwa na Ukweli basi Matrix imeshakupata wewe.

Changanua tu wangapi hawamjui Mungu au wanamjua kinafiki pia hatuwatoi Billions ya wakristo pia,
kwa sababu naogopa kusema Wengi wa wakristo wapo Ndani ya MATRIX 100% nitasema kwanini.
Kumbuka Matrix ni gereza la akili, ni akili iliyopo gerezani na Shetani hajaliacha kanisa

hajaliacha kanisa kwa sababu yeye ndio aliyeumba Matrix, hawezi Kuacha Dini iliyo na wafuasi wengi ambao wanaamini Sana viongozi wao na watiifu kupitiliza
Amelibadilisha kabisa mara nyingi Kuanzia historia, mafundisho na tamaduni Kisha akapaka rangi kwa kusema unamuabudu Mungu

Wakati Muongozo mwingi Sana wa kanisa la leo linamuabudu Shetani bila kujua na viongozi wanaruhusu hili na kuacha watu wampatie Nguvu shetani bila kujua.
Nguvu kubwa ya kishetani inazalishwa Dec 25, wakati Ulimwengu mzima unasherekea kuzaliwa kwa Mwana wa Mungu. Ni CHRISTMAS

Tafuta ukweli juu ya Christmas, Kisha sikiliza Tena wimbo wa Eminem "Not afraid" kwa ukali akisema FUCK CHRISTMAS
Tusitoke njiani, Matrix ni mfumo wa dunia ulioundwa na familia tajiri ulimwenguni kwa Karne sasa
Mfumo Huu hutumika kutawala Jinsi ya kufikiria na Jinsi tunavyoishi

Movie inasema
"Matrix ni mfumo na huo mfumo ndio adui yetu,kwenye mfumo unaona wafanyabiashara, walimu, selemala, polisi n.k
Wote inabidi tuwaokoe, hata unapowasaidia usisahau bado wapo kwenye mfumo na mfumo ni adui yetu. Japo hawapo tayari kuokolewa, wanamini mfumo utawaokoa"

"Matrix ipo kila Mahali,ukichungulia dirishani, ukiangalia Tv, ukienda kazini hata hapo unaposoma ukweli huu, unapoenda kanisani, unapolipa kodi, ni ulimwengu ulioziba macho yako usione ukweli"..
.."Ukweli wa kwamba WEWE NI MTUMWA, Mtumwa kama wengine waliowekwa gerezani...

... gereza wasiloweza kuligusa, kuliona wala kulishika, Gereza la akili Yako"
...{Haya ni maneno ya Movie ya Matrix}
Na huo ni Ukweli.. Matrix ipo kila Mahali na wanatumia utajiri wao kutupangia nini cha Kuogopa, Cha kuona na Cha kufanya.
Kabla ya Ulimwengu Huu wa kisasa...

... Mwanaume akitaka kulisha familia yake alikuwa anaenda kuwinda na kurudi na chakula, atatumia ardhi kujenga Nyumba yake, atawakuza watoto wake na kuwafundisha.
Ila Leo ukitaka kula lazima utafute Hela iliyoumbwa na Matrix, Utahitaji kununua chakula kilichozalishwa na Matrix

Matrix ndio wanapanga nani ale chakula kibaya nani ale chakula kizuri, hiyo yote hupangwa na Hela Gani kununua hicho Chakula.
Huwezi kujenga kwenye ardhi yeyote kama zamani kwa sababu wanamiliki ardhi, inakulazimu utafute Hela zilizoundwa na matrix ununue ardhi kutoka kwao pia

Hata kama utakuwa na ardhi ni Lazima ununue bidhaa kutoka kwao.
Wanatawala Hela na ukizipata hizo Hela wanapandisha gharama za Maisha kila Siku na vitu vipande Bei Ili wanawake nao waingie kwenye mchakato wa kutafuta Hela na wasipate Muda wa kuwalea watoto wao Nyumbani

Hata kama ukiamua kuwalea na kuwafundisha watoto wako nyumbani bado waliweka sheria lazima upate kibali kutoka kwao ukiwa na Sababu zenye mashiko vinginevyo watamchukua kwa Kigezo mtoto ni wa Serikali
Haijalishi ni shule za Serikali au private kwa sababu wao ndio wanaunda mtaala

Kwenye mitaala yao wanafundisha watoto kuwa na utii na kuheshimu kila mtu na kuheshimu utawala, hii ni kuendelea kujikusanyia Nguvu bila kujiweka mbele wala kutaka kuandikwa Popote.
Kama unafikiria Bill gates & Jeff Bezos ni watu matajiri zaidi, hii ni program ya Matrix...

Kuna mengi ya muhimu hatufundishwi shuleni, shule hazifundishi kuhusu Hela, zimetengenezwa na nani ila walimu kazi yao ni kukwambia soma Sana upate wastani Bora.
Wanatawala siasa nani achaguliwe na nani asichaguliwe, agenda Gani iende mbele agenda Gani ibakie hapa hapa.

Wanatawala Vyombo vya Habari, movie na kila kipindi huoneshwa baada ya wao kuidhinisha BBC, CNN n.k
Lengo la vyombo vya Habari ni kueneza Hofu Duniani, ili kuzililia Serikali ambayo imewekwa na Matrix ndio Maana Niliwahi kusema usifatilie Habari wala kuiamini Serikali.

Na siku zote wanatuonesha wanachotaka tuone, lengo ni kusambaza Hofu, Ajenda, ukisikia Uchumi unashuka utachanganyikiwa na kulaumu Serikali pia ukitaka Serikali ikusaidie wakati ni mfumo tu..Hakuna Cha Kuogopa hapa.
Nitashare Uzi na video juu ya Ajenda zilizopo Nyuma ya Habari

Wanatawala makanisa ya Dunia kupitia maandiko ya uongo,na kuwaweka viongozi wa masonic & watumishi waongo madhabauni, ambao wafundisha mafundisho ya uongo kwa kuhubiri juu Hela na Mafanikio na kuepuka mara kwa mara kutaja jina la yesu.
Wanatawala Afya Zetu Kwa kumiliki Bima..

Wakati huo huo wanaweka Sumu kwenye vyakula vyote, Sumu kwenye vyombo hata Mafuta unayopaka, Kisha wanasema hii imethibitishwa kwa sababu ina nembo ya TBS.
Wanatawala technology yote ni vifaa vyetu lakini hakuna tunachokijua naweza kusema na kusema lakini kifupi hii ni MATRIX.

Iliundwa hili kila unachokifanya umuabudu Shetani, mungu wa uongo ili awe mwenye nguvu zaidi
Na wanatulisha uongo wao, ili tuendelee kujaa kwenye mfumo wa uongo, kwa ajili ya malengo yao. Tumefunikwa na kuzibwa tusione Ukweli.

Tumetengwa na Malengo halisi ya mwanadamu...
Wengi wetu tumekamatwa na Matrix na hatujui kama kweli ipo, Wanatuaminisha Tunaweza kuwa upande wao na Bado Tunaweza kupendwa na Mungu, Huo ni Uongo.

Kama ukisoma Biblia inasema Matrix itachukua Mamlaka kama yalivyo Kisha Biblia ikasema pia tusiupende Ulimwengu na mambo yake.
Biblia inasema tukiwa na Urafiki na Dunia ni Kwamba umejifanya kuwa adui ya MUNGU.

Imetuambia tuwe macho na tamaduni za Binadamu na mawazo yake kwa sababu hatusomi Biblia ndio Maana tumedanganywa kupitiliza.
Matrix imefanya zaidi ya kututawala, inaamua nini tukifiri na kufnya
Kwa Matendo yetu tumemfanya Shetani kuwa Mbadala wa Mungu mwenye Nguvu.

kufanya hivyo kumpa nguvu shetani na kukubali kuwa Shetani ni mkuu wa dunia na mbingu.
Hiyo nguvu inasema Shetani anayo mioyo yetu kuliko mioyo yetu ilivyo kwa mungu
Hiyo nguvu ni pale tunapoamua kufanya mambo yetu wenyewe bila kumshirikisha wala kutaka kuongozwa na aliyetuumba

Moyo wako ndio unatoa nguvu na kumpa Shetani, Hivi vitu vyote vinatokea kwa Muda Mrefu sana na vitaendelea mpaka tukapokuwa na Giza kabisa kuja Kwa New world order
👉 2 Wathesalonike 2: 11-12
atahukumu wote ambao hawakuamini kweli, kwa sababu walifurahia udhalimu

Ila wengi hawajui kuwa Huu uongo mwingi upo ndani ya kanisa, wanaamini kwenda kanisani jumapili, kutoa Sadaka, kula mkate ndivyo agano jipya lilivyo
Siasa, urangi ni Matrix
Unavyofatisha hayo yote ni kufatisha program ya matrix, Pia kitu kinachotutenga na Mungu Moja kwa Moja

Hakuna Cha kulaumu kwa sababu ulitumiwa Mtume Muhammad S.A.W na Yesu ila ukachagua kwenda Bar wanapolipia na sio kanisani wala msikitini Mahali ambapo ni Bure.
Ukanunua wanawake, porno na Punyeto ukasema ni sehemu ya Ukuaji, ukaongozwa na kila quotes bila kuchuja chochote.

Siku hizi uongo una Sauti kuliko ukweli, sio kwamba Mungu hawezi kuzuia ila mlipewa kila kitu mjiokoe mkaendelea kupuuzia, ukaomba utajiri badala ya Uzima
Umeamini kuwa kura yako ni Muhimu, bado ni mfumo tu Kwa sababu watu unaowapigia kura wanatoka kwao

Matrix ipo kama ndoto ndio Maana wengine hawajui, Hauna Sauti kwenye hii Dunia,
Future ilishapangwa Miaka Mingi kabla hujazaliwa.
Unachoweza kufanya ni kuamua uchague upande Gani..Nguvu zako uchangie wapi.

Kwenye matrix wewe ni Mtumwa, japo unahisi raha kwenye vitu vingi, sio raha halisi.
Umekuwa ukivurugwa kutoka kwenye Amani ya kweli, furaha ya kweli na Uhuru wa kweli.
Kuna mengi Sana yakusema
Ila nilitaka ujue matrix ni nini na naimani unajua kidogo nini maana yake, narudia..

Matrix ni ulimwengu uliotengeneza Maalum kabisa kukuongopea na wakati huo huo kukushawishi kuzalisha Nguvu hasi ya kishetani ili kukamilisha Mipango ya NEW WORLD ORDER.
👉KUWA HURU.....👇
Njia pekee ya kuwa huru dhidi ya matrix ni kuvunja uhusiano na ulimwengu, Usiipende Dunia.

Jiweke Maisha yako karibu na Mungu, yeye alikufa kwa Damu yake nao wakombolewe.
Hii Dunia ni Mazoezi tu nani atatumia au kutotumia Muda wake na Muumbaji wake.
Tunapita tu
Ni Ngumu Kuvunja matrix Najua, ila Mungu atakufungua ukiwa tayari.

Mfumo unaonekana una Nguvu na Ngumu kuushinda lakini Hivyo Ndivyo Shetani ametaka Uamini.
👉1 Yohana 4: 4-6
Umeona aliyendani yako huyo ndio atakupa Nguvu ya kuyashinda. Unatakiwa uwe na Nguvu ya kupinga uongo

Ukiweza kushinda Uongo utaweza kuishi kwenye Dunia halisi, na kama ilivyo kwenye movie Ulimwengu wa kweli sio mzuri na mtamu kwenye matrix ambapo Kuna Bata na Maisha Mazuri kuliko kawaida.
Kama ilivyo kwenye movie kila ambaye yupo kwenye matrix ni wakala wa Shetani.

Kila wakala wa Shetani vita yake ni Dhidi ya yule anayetaka kutoka kwenye matrix.
Ulimwengu halisi bila kuiba, wizi, usaliti, kisasi ni ulimwengu mbaya ila una Amani, Upendo na Furaha Ndani yako kuwa kama Baba.
Ndio maana waumini wazur wengi ni Masikini kwa sababu wizi sio haki

Huu ni mchakato sio suala linalotokea usiku mmoja ila siku Moja utapokea taji lako.
Jitoe kwenye matrix
👉Soma biblia, jua vitu kabla ya kwenda kanisani ili ukifika kule usilishwe wanachokisema viongozi ila chambua Nini ule na Nini usile
👉Soma japo kurasa 1 Kwa siku au zaidi..

👉Acha kusikiliza wanachokisema wanaojiita wataalam na acha Roho akuongoze, yeye anajua Hatma yako
👉Usijisikie vibaya unapokuwa Tofauti na wengi ukiwa imesimamia Ukweli, Wengi wamefungwa na hawajui
👉Acha kwenda kanisani kwa Muda Soma biblia mpk ujue kutenga Ukweli & Uongo

👉Unaendaje kanisani bila kujua kinachozungumzwa kwamba ni kweli au uongo, Usifatishe Dini ila fatisha maneno yake
👉Ulikuwa au upo kwenye matrix Kubali kutoka kwanza na acha kutumia ulichofundishwa kwa maana Vingi ni Uongo
👉Unavyozeeka Ndivyo unavyokuwa na uongo mwingi

👉Acha kusherekea usivyovijua sherekea neema zake kila siku.
👉Acha kusherekea utamaduni uliowekwa na binadamu au njia zao.
👉Acha kuhofia Siasa, umasikini, fanya mambo yako muamimi Mungu kama mwokozi wako
👉vunja minyororo ya Elimu uliyopewa na uliza Maswali

Omba Dua, Sali kila unapoamka na kabla ya kulala
👉2 wakorintho 10:5
BARIKIWA.
Shukran kwa Pongezi zetu wote & nawapongeza kwa kutaka Mabadiliko kila Leo
Follow @ommyfitness
MWISHO

جاري تحميل الاقتراحات...