Kansa/saratani ya koo:
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini ulionyesha asilimia 20 ya saratani ya koo husababishwa na ngono ya mdomo maarufu kama ‘Oral Sex”.

Magonjwa ya utumbo:
Kutokana na kushiriki ngono kwa njia ya mdomo, kunaweza kuwa na hatari ya maambukizi ya bakteria au virusi kwenye mfumo wa utumbo, ambayo yanaweza kusababisha shida za utumbo katika mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula.

Mfiduo wa kemikali: Baadhi ya bidhaa za usafi au mafuta yanaweza kutumiwa na wanawake kwenye sehemu zao za siri. Mwanaume akinyonya sehemu hizo anaweza kusababisha mfiduo wa kemikali kwenye mdomo au ulimi wake, ambayo inasababisha maumivu, uvimbe, au athari nyingine ya mzio.
Maambukizo ya fangasi au bakteria: Uke una bakteria na fangasi nyingi ambazo zinaweza kuhamishwa kutoka kwenye sehemu za siri za mwanamke hadi kwenye kinywa cha mwanaume wakati wa kunyonya. Hii inaweza kusababisha maambukizo ya fangasi (kama vile kandidiasi)
Mwisho
Sio kila kitu unachokiona kwenye mitandao ya kijamii kina manufaa la hashaa! vitu vingine vinachangia kuhatarisha maisha yako.
Asante kwa kufuatilia somo hili usisahau kunifollow @FJinyami kwa habari za afya zaidi.

جاري تحميل الاقتراحات...