Usamah Nouh
Usamah Nouh

@NouhUsamah

2 تغريدة Jul 06, 2023
Ewe! Unayeona ya undani na wayasikia***We ndiye muweza wa kila tuliwazalo.
Ewe unayetarajiwa kwenye shida zote***Ewe ambaye kwake ndipo pa kushitaki na kimbilio.
Ewe ambaye hazina ya utoaji wake ipo katika kauli "Kuwa"***Neemesha, kwani kheri yote makusanyo yake ni kwako.
Sina hila yoyote isipokuwa kubisha mlango wako***Na ikawa sitakubaliwa ni upi mwinginewe mlango nigonge?
Na nani nimuombe na kumuita kwa jinale***Ikiwa fadhila zako fakiri wako kanyimwa?
Kamwe kwa utukufuwo(Allah) kumkata maini muasi***Na fadhila zako ni nono na mtoaji ni Mkrimu

جاري تحميل الاقتراحات...