18 تغريدة 12 قراءة Feb 17, 2023
IKIWA MWANAMKE ULIYEMPENDA NI MTU WA DINI ( .. TONGOZA HIVI :
UZI🧵
Habari zenu. Ilikuwa ni January Nilitembelewa Dm . Jana Kanipa Shukrn zangu Kuwa kafanikiwa .
Kama Pro.Bixen Mdau alisema «  Mwalimu Kuna Mwanamke Nimempenda but Naona Hanielewi haswa hata nilipo Jaribu kuwa Karbu kanisani Naye ila ikawa ngumu ..
Nikamuuliza Kwanini Umenijuza hili . Akasema
Nimekuwa Nikifwatilia Mafunzo yako kutoka kwenye ukurasa huu ningependa msaada wako Hakika nimempenda huyu bint .. Nikamwambia Njia zote Ulizo wahi Jaribu kwake Achana nazo. Ndipo nilipo shika nafasi. .. ..!
Haya ni Baadhi ya Mawasiliano yao walipo kuwa wakizungumza ni ya kumbukayo nimejaribu kuunganisha ingawa ni mengi Basi hata Kwa Uchache tulicho Fanya ni kutembea na mafungu tuu..😂🙌
HAYA TUENDELEENI.. Namna yake .
No name : Hello mrembo, samahani, una
mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
No name: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana
Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe
peke yake, nitamfanyia msaidizi wa
kufanana naye."
Binti: Lakini mimi sikupendi jamani.
No name : Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8
"Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa
maana Mungu ni upendo."
Binti: Mh! Unaonekan mwenye kujua vitabu unasoma haswa Mi ntajuaje kwamba na wewe
unamaanisha hayo maneno?
No name : Huwenda Nashukuru But Inatuambia kuwa Injili ya Mathayo 12:34b "Maana,
kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo
wake."
Binti: Jamani leo kazi. Mi ntajuaje kwamba
we ni mkweli na mwaminifu?
No name : Uwenda ni ngumu kuelewa Kwa Kuwa Maisha ya endavyo bint Lakini Injili ya Marko 13:31 "Mbingu na
nchi zitapita; lakini maneno yangu
hayatapita kamwe."
Binti: Wewe! Na kwanini umekuja kwangu?
Wasichana mbona wako wengi tu!
No name :Kwenye Uwingi wao huo ni Sawa Lakini wewe hauko kwenye Uwingi wao Mithali 31:29 "Binti za watu wengi
wamefanya mema, Lakini wewe umewapita
wote."
Binti: We una mambo wewe! Sasa mimi
kwangu umependa kitu gani?
No name :Swali lenye majibu mengi sana hili but mie tajibu tofauti na utakavyo tegemea Wimbo Ulio Bora 4:7 "Mpenzi
wangu, u mzuri pia pia, Wala ndani yako
hamna ila."
Binti: Mh! Huo uongo, mbona mimi hata
sio mzuri kihivyo. Mwanaume uongo
No name : Mithali 31:30 "Upendeleo
hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali
mwanamke amchaye Bwana, ndiye
atakayesifiwa."
Binti: Nikisema nimekukubalia itakuaje?
No name : Itakuwa furaha sana kwa upende wangu hautakaa kujutia siku zote takuwa nawe .
nao watakuwa mwili mmoja."
Hata Maandiko husema Mwanzo 2:24 " Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."
Binti: Jamani we mkaka. Inakuaje unajua
maandiko kiasi Hiki hata Sitegemei Umekuwa wakuoneakan sio muongeaji kiasi hicho?
No Name : Yoshua 1:8 "Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate
kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana."
Binti: Wowwww! Naona unampenda sana
Mungu.
No name : Zaburi 34:8 "Onjeni mwone ya
kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule
anayemtumaini."
Binti: Mh! Haya bwana. Basi nipe muda
nifikirie ombi lako.
No name: Wafilipi 4:8 "Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki,yo yote yaliyo safi, yo yote yenye
kupendeza, yo yote yenye sifa njema;
ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
Binti: Mh! Jamani wewe, haya, nimekubali.
Mpaka hapo nakupenda tayari!!
Jamaa: Ufunuo wa Yohana 22:21b "Amina"
| Mwisho |
Nashkuru kwa kupitia uzi huu nadhani utakua umejifunza kitu.
Tafadhali nijulishe ikiwa kuna kitu maalum ungependa niandike. Usisahau kulike, Kuretweet , Kufollow @heisbixen na Kucomment.

جاري تحميل الاقتراحات...