Sio kila umpendae ata kupenda pia inabidi ujue ikiwa hautakiwi kwake unaweza mwacha aende sio kila mtu atasem tuachane mwengin ata taka kukutumia muda wako tu jifunze kuthamin muda wako ikiwa mwanaume.
Wanawake paka hapo umri wako Umekuwa ukipishana nao wangap jiulize au ni Huyo huyo umuonae ana kipi ambacho Hana ukipata jumlisha na kutokuwa na Upendo wako Sijui unanisikia ila hivyo tambua thamani yako.
Uchafu ni uchafu tu hata iwe kwenye usafi hufikri anapo kutana na hao wengin hutumika kivipi Je maisha yako Uko teali kupoteza kwa Mtu asiye jua thamani yako kwanini ebu fikria wazazi wako na ndugu wakutegemeao.
Unapo tafuta mwenza siku zote tambua una chagua mama wa wanao hivyo uchaguzi wako unaweza Kuwa mateso kwa uzazi wako Mtu akupendi sini kubali Achana naye unastahili kupendwa pia kama umpendavyo bro usiwe mnyonge kiasi hicho Mtu wakuweza tembea Hadi na rafiki yako.💔
Shukur unajua mapema vibginevyo tuna shuhudia Vifo vingi mnoo vya vijana walio kufa kwa msongo au kuuwawa na wake zao uwenda ulikuwa Mmoja Wapo kila kitu kina sababu achana naye Jipende tafadhari.😫
Bro, kipi usichokielewa? sawa hauwezi kutafsiri ishara je ni kweli unashindwa kutambua ikitoka moja inayofuata ni mbili? sijui ni nani uliyetaka aje akufaulishe somo la upendo, kama group member wako aliamua kufanya discussion na mwingine.
Nafahamu tamaa zako za kutaka kuishi kama mfalme katika dunia ya upendo. Lakini haliwezi kutimia kama malkia wako ataamua kushirikiana na kijakazi wako kukuangamiza. Bro ushindi halisi kwa mshindani hua unaanza na imani yake kwa anachokipigania.
Unajua kwanini kaka? Bado umbali haujawahi kubeba lawama katika vita ya uchawi. Asiyekufahamu hawezi kukuroga. Nadhani unaelewa nini namaanisha.
Ngoja nikufahamishe kitu brother.
Ngoja nikufahamishe kitu brother.
master Tsun zhu aliwahi kuandika katika kitabu chake cha kushinda vita yoyote ile duniani.
"kama utashindwa kufahamu udhifu wako ulipo , lakini pia ukashindwa kutambua nguvu ya adui yako ilipo tegemea kupoteza vita zote utakazo pambana" hii ilikua sheria namba mbili.
"kama utashindwa kufahamu udhifu wako ulipo , lakini pia ukashindwa kutambua nguvu ya adui yako ilipo tegemea kupoteza vita zote utakazo pambana" hii ilikua sheria namba mbili.
Bro mapenzi yanaheshima tu kwa mapenzi yenzie. ukweli mchungu jitahidi kuumeza tu bila maji yule hakukupenda.
Endelea kutabasamu sababu "dunia bado haijaisha watu wema, tunachoshindwa ni kuwaamini"
Endelea kutabasamu sababu "dunia bado haijaisha watu wema, tunachoshindwa ni kuwaamini"
Kwenye mazishi yako, mi nitajitolea kuja na majina mengi ya kukuita marehemu mwerevu, ili ujinga uliokupata baada ya kubarehe, ibaki kuwa siri kati yangu na yako, na mwanamke aliyeumbwa na sababu ya kifo chako.
Hakuna tuzo ya king'ang'anizi, kwa mwanaume anayeulazimisha moyo wa mwanamke. Kamusi zikaja na misemo mingi kumtahadharisha, ukiwemo ule wa msi nadhari ni pumba msi kujua aendako.
Kama bado hujaniamini, endelea kunisikiliza.
Kama bado hujaniamini, endelea kunisikiliza.
Jongoo anatamani aondolewe miguu yake yote, kisha ibadilishwe iwa japo jicho moja tu. Hadithi yake na Nyoka, inamsaada mkubwa kwako, kama utarudia kuisikiliza kabla hujaendelea kumpa pesa anayeishia kukubusu kwenye simu tu.
Wahenga waliokwambia moyo uliopenda dawa, huku ukiendelea kuugua maradhi ya ujinga yanayokaribia kukuua, ndo hao waliokwambia akili za kuambiwa changanya na zako.
Ahadi zetu za kuhudhuria mazishi yako, zisikufanye uamini jina lako ndo limebeba kitabu chenye orodha ya wataokufa hivi karibuni, hata kama unaota mara kwa mara, ndoto ya kufagilia kaburi lenye picha yako.
Inuka sasa tuendelee na majukumu Badilika jipende jifanyie Vitu vizur utapata nawe Mtu wakukupenda huna sababu ya kua mnyonge katika vita vya utafutaji huku sababu ya unyonge ikiwa ni mapenzi.
| Mwisho |
Nashkuru kwa kupitia uzi huu nadhani utakua umejifunza kitu.
Usisahau kulike, kuretweet, kufollow @heisbixen na kucomment
Nashkuru kwa kupitia uzi huu nadhani utakua umejifunza kitu.
Usisahau kulike, kuretweet, kufollow @heisbixen na kucomment
جاري تحميل الاقتراحات...