20 تغريدة 6 قراءة Oct 17, 2022
Mambo Yanayoweza kumchochea Mwanamke KUCHEPUKA:
UZI🧵
Naitwa Bixen Wanapenda kuniita Daktari ni mbobevu katika eneo la Mahusiano, Uchumba, Ndoa Malezi pamoja na Uchumi.
Ninachotaka kukufundisha leo ni mkusanyiko wa shuhuda kadhaa ambazo zilikusanywa tangu mwaka 2019 mpaka kufika leo October 14, ni ukweli mtupu.
Kanuni hii inassema "Kila jambo linalotokea huwa limesukumwa na sababu fulani iliyolifanya litokee" kwa maneno mengine ni kwamba hakuna kitu kinatokea kwa BAHATI MBAYA.
Kwahiyo sasa, leo nataka niwafundishe watu elfu kadhaa ambao mmekuwa mkifuatilia masomo yangu juu ya mambo yanayoweza KUMCHOCHEA na kumfanya Mwanamke ACHEPUKE.
Jambo la KWANZA; Love Shifting
Kwa kawaida upendo unaweza kuhama kutoka kwa mtu mmoja na ukahamia kwa mtu mwingine, upendo unahama kule unakopuuzwa na kuhamia kule unakothaminiwa (Note this point somewhere)
Kama wewe ni mwanaume, kuanzia leo natamani ufahamu kuwa tunaomtaka mwanamke wako ni wengi sana hata kama umemzalisha; tunamtaka hivyohivyo, kwahiyo ukimpuuzia sisi tutamjali, unajua nini kitatokea
Kadri unavyompuuzia na kumuumiza ndivyo ule upendo aliokuwa nao kwako unavyozidi kupungua siku hadii siku, kanuni ya mlimbikizo inasema vijimambo vidogo vidogo ukivifanya katika namna inayojirudiarudia, baada ya muda
Vinaleta matokeo makubwa sana, haiwezekani upendo wake ukahama mara moja, ila kila unapomtreat vibaya ujue inakula sehemu ya upendo wake kwako na kuna siku upendo wake utatoweka kwako na
Kama kuna mwanaume anamjali na kumthamini basi upendo utahamia huko na mauno atapewa yeye.
Jambo la PILI; Kutokumridhisha wakati wa Tendo
Wanaume wengi tunalichukulia poapoa suala la kumgusa-gusa mwanamke bila kuhakikisha kama ameridhika na nyege zake zimeisha, wengi tukimwaga sisi tunahisi kazi imeisha.
Mwanamke anaweza ivumilia hiyo hali kwa muda mrefu sana, akifika point akachoka basi atajikuta anashawishika kuchepuka ili akutane na HEAVY SEX itakayomaliza nyege zake zoote.
Nilisema nasema na leo tena, wanaume tuna vochochea hamu ya sex (sex catalysts) mara 25 ya vile
walivonavyo wanawake, ndio maana sisi tunahitaji sex zaidi ya wao.
Lakini inapotokea mwanamke akahitaji kusex basi anahitaji sex ya kiwango cha juu sana, yaani iwe ni kazi kazi mpaka yeye aseme "NIMETOSHEKA" kwa kumaanisha.
Inapotokea mara kwa mara unamgusa-gusa bila kumridhisha unamuacha na nyege zake, atazifuga hizo nyege mwisho atachoka kuvumilia na atatafuta namna na kuchepuka kunaanzia hapo.
Sababu ya TATU; Law of Reciprocity
Kanuni hii inasema "mtu akifanyiwa kitu kizuri anakuwa kama amepigwa deni la yeye kulipa fadhila siku zijazo" unaweza jiuliza inawezaje kusababisha mwanamke akachepuka hii?
Iko hivi, kama mwanamke wako amekuwa akikushirikisha changamoto zake mara kwa mara na hujisumbui kuzitatua hata kidogo basi ataende kumshirikisha mwanaume mwingine na akizitatua Huyo mwanaume anakuwa kwenye nafasi kubwa sana ya kutunukiwa sex kama ishara ya kuthamini mchango wake
katika maisha ya mwanamke huyo.
Wapo wanawake wengi sana ambao wamewahi kusex na wanaume sio kwa sababu waliwapenda hao wanaume, ila kwa sababu ya misaada ya wanaume hao, trust me or not.
Hautskiwi kuyapuuzia mahitaji ya mwanamke wako pale ambapo ameamua kuyaleta kwako, kama
huna uwezo wa kuyatatua yoote basi msaidie kuyatatua kwa sehemu ili aone kwamba unajihusisha na maisha yake. Usisahau; mimi ni mwalimu ambae nimebobea katika hili eneo kiasi kwamba kiwango changu cha kuaminika kinaongezeka kwa kasi sana kadri siku zinavyozidi kwenda.
Wanawake wengi Humu Twitter wame niambia na kukiri kwamba wanachepuka na wanaume ambao ni tofauti kabisa na wanaume zao, utaratibu wangu ni kwamba
Kabla sijampa mtu ushauri huwa namuuliza maswali mengi sana ili kutafuta kujua sababu iliyomsukuma akachepuka na nimebaini hizo ndo
sababu kuu kwa wanawake wengi. Kumbuka pia kuwa in nature, women are emotional creatures; kiasili wanawake ni viumbe wanaoendeshwa kwa hisia sana kuliko wanaume, wanaume tunaendeshwa na Logic
Mwanamke akifika hatua ya kuchepuka ni wazi kwamba hisia zake zimehama kwa mwanaume
wake na kuhamia kwa anaechepuka nae, ndio maana ni vigumu sana kumsamehe akichepuka.
Hii ni kwa sababu kiasili mwanamke hawezi kumpa sex mwanaume ambae hana hisia nae; unless huyo mwanamke awe amekubuhu ukiona amechepuka basi ujue yupo tayari kukupoteza.
Asante Kwa kusoma Uzi Rt ifike kwa wengineo na unaweza Follow Page @heisbixen 🙏

جاري تحميل الاقتراحات...