"Kila hali inayoonekana huwa imesukumwa na mambo kadhaa yaliyoifanya hali hiyo ikatokea, kwahiyo Hali ya mwanamke kumdharau na kumpuuzia mwanaume lazima iwe na Sababu ya kinachomfanya na kumsukuma mwanamke kumdharau mwanaume wake, na inawezekana.
Wakati penzi lilipokuwa jipya dharau hazikuonekana, ila kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo ambavyo mwanaume anaona jinsi anavyodharaulika.
Uzoefu wangu unanambia kwamba ukijua chanzo cha tatizo unakuwa una asilimia 50% za uwezekano wa kulitatua karibu ujifunze.
Uzoefu wangu unanambia kwamba ukijua chanzo cha tatizo unakuwa una asilimia 50% za uwezekano wa kulitatua karibu ujifunze.
Kinachosababisha cha KWANZA; Kuhama, Kutokuwepo au Kutoweka kwa UPENDO.
My dear brothers natamani mfahamu kwamba upendo wa mwanamke kwa mwanaume unaambatana na kufungamana na HESHIMA, UTII na UNYENYEKEVU, hii ni kusema kwamba
My dear brothers natamani mfahamu kwamba upendo wa mwanamke kwa mwanaume unaambatana na kufungamana na HESHIMA, UTII na UNYENYEKEVU, hii ni kusema kwamba
Kitendo cha mwanamke kumdharau mwanaume kinaweza kikachochewa na mwanamke kutokumpenda mwanaume, au aliwahi kumpenda na upendo ukatoweka au upendo umehamia kwa mwanaume mwingine.
Kinacho Sababisha cha PILI; Mwanaume Kuwa chanzo cha KUDHARAULIKA.
Kuna aina ya wanaume wanaitwa kihaiba "Driven Men" wanaume ambao hawawezi kujisimamia wala kujiendesha, wanaendeshwa na watu wengine kama dada zake, kaka zake, mama yake, marafiki zake.
Kuna aina ya wanaume wanaitwa kihaiba "Driven Men" wanaume ambao hawawezi kujisimamia wala kujiendesha, wanaendeshwa na watu wengine kama dada zake, kaka zake, mama yake, marafiki zake.
Unakuta mwanaume anapanga kitu na mwanamke wake, afu kesho anakuja kusema "mama kasema nifanye hivi na vile" yaani anakuwa yeye kama yeye hawezi kusimamia misimamo yake na mipango, anaendeshwa.
Unakuta mwanaume hawezi kusimama kama mwanaume,
Unakuta mwanaume hawezi kusimama kama mwanaume,
hawezi kutoa tamko au kufanya maamuzi, anakubali na kufuata kila kitu, mwanamke akiongea kitu anajibu "mi nakusikiliza wewe.
Mwanaume akiwa hivyo suala la kudharauliwa na mwanamke ni la kawaida, kila mwanamke anamtaka mwanaume ambae hapelekeshwi hovyo, mwenye misimamo.
Mwanaume akiwa hivyo suala la kudharauliwa na mwanamke ni la kawaida, kila mwanamke anamtaka mwanaume ambae hapelekeshwi hovyo, mwenye misimamo.
Ukiona ni aina ya mwanaume ambae dada, mama yako, marafiki zako au mwanamke wako wanaweza kukupelekesha na ukapelekesheka ni rahisi sana kudharaulika, unaonekana ni MWANAUME WA HOVYOO🤭
Kisababisho cha TATU; Mwanamke Kumlinganisha mwanaume na wanaume WENGINE
Huwa inatokea mwanaume anapata mwanamke ambae aina ya wanaume wanaomtongoza ni wa hadhi ya juu "HIGH CLASS MEN" kuzidi hadhi aliyonayo mwanaume wake, kinachotokea
Huwa inatokea mwanaume anapata mwanamke ambae aina ya wanaume wanaomtongoza ni wa hadhi ya juu "HIGH CLASS MEN" kuzidi hadhi aliyonayo mwanaume wake, kinachotokea
Mwanamke akiwacheki wanaume wanaomfukuzia mara kwa mara unakuta ni vijbeba, wana fedha ndefu, wamefanikiwa na wana maisha fulani hivi afu akikucheki wewe mwanangu anaona daah, anaanza kukudharau. Kama mwanamke akiwa anatongozwa na wanaume wenye maisha mazuri mara kwa mara.
Kinachosababisha cha NNE; Mwanaume Kukwepa MAJUKUMU.
Kuna kacontena kapya cha wanaume wa kizazi kipya kameingia sijui namimi nimo au vipi, ila sifa mojawapo ya wanaume hao ni skippers, yaani ni watu wanaokwepa kuwajibika kama wanaume.
Kuna kacontena kapya cha wanaume wa kizazi kipya kameingia sijui namimi nimo au vipi, ila sifa mojawapo ya wanaume hao ni skippers, yaani ni watu wanaokwepa kuwajibika kama wanaume.
Wengine wameenda mbali kiasi kwamba wanaomba-omba hela kwa wanawake zao, sijasema kuomba hela ni vibaya, ila mwanaume kuomba-omba hela na kulia-lia shida kwa mwanamke so vizuri, ni kuua brand 😂
Kuna wanaume wengine wakioa tu majukumu yoote wanayaacha mikononi mwa mwanamke,
Kuna wanaume wengine wakioa tu majukumu yoote wanayaacha mikononi mwa mwanamke,
unakuta mwanamke ndiye anafanya kila kitu kinachohusu fedha afu mwanaume katulia tuli 😂
Mwanaume kama huyu suala la kudharaulika ni la kutegemea, hii ni kwa sababu heshima ya mwanamke kwa mwanaume inachochewa na uwajibikaji wa mwanaume huyo, asipowajibika manake ana dharauliwa.
Mwanaume kama huyu suala la kudharaulika ni la kutegemea, hii ni kwa sababu heshima ya mwanamke kwa mwanaume inachochewa na uwajibikaji wa mwanaume huyo, asipowajibika manake ana dharauliwa.
Brother, jitahidini sana muwe wawajibikaji kwa wanawake zenu, bebeni majukumu yahusuyo fedha, vinginevyo hamtaweza kukwepa DHARAU.
Kisababisho cha TANO; Mwanamke kumzidi mwanaume FEDHA, ELIMU, UMAARUFU N.K
Sio kwa wanawake woote, ila kwa wanawake walio wengi ambao kuna namna wamewazidi wanaume zao vitu fulani-fulani kama hivyo nilivyotaja hapo juu basi huanza kuwadharau wanaume.
Sio kwa wanawake woote, ila kwa wanawake walio wengi ambao kuna namna wamewazidi wanaume zao vitu fulani-fulani kama hivyo nilivyotaja hapo juu basi huanza kuwadharau wanaume.
Kisaikolojia watu wengi hunyenyekea chini ya walio juu yao, ni vigumu sana (sijasema haiwezekani) kumnyenyekea mtu ambae umemzidi vitu fulani-fulani na inaweza ikakuchochea kumdharau pia.
Fuatilia couple ambazo mwanaume anazidiwa kete na mwanamke utaona, kuna namna ni rahisi sana kumkuta mwanaume akidharaulika na kupuuzwa na mwanamke wake japo sio kwa wanawake woote.
Hii ni kwa sababu, mwanamke anapenda kujihisi anamilikiwa
Hii ni kwa sababu, mwanamke anapenda kujihisi anamilikiwa
Kinachosababisha cha SITA; Aina na NATURE ya mwanamke
Kuna aina ya wanawake ambao wao dharau ni nature yao, ni aina ya wanawake ambao wanajiona special na kujisikia kuliko wanawake wengine, Wanaamini kwamba kwa namna jinsi walivyo hawapaswi kumheshimu wala kumsikiliza mwanaume,

Kinachosababisha cha MWISHO; Kutokumpelekea moto mwanamke Ipasavyo
Kwa kawaida, anawake hawapendi kusex mara kwa mara kama ambavo wanaume tunapenda, wao wana vichochea hamu ya sex (Sex Catalysts) vichache kuliko sisi; tumetofautina sana!
Kwa kawaida, anawake hawapendi kusex mara kwa mara kama ambavo wanaume tunapenda, wao wana vichochea hamu ya sex (Sex Catalysts) vichache kuliko sisi; tumetofautina sana!
Lakini wanawake woote wanapenda wakisex show iwe show kweli, mwanaume akikanyaga mafuta akanyage kwelikweli, mperampera, moto moto mpaka mwanamke ahisi kuridhika, hii inatengeneza heshima.
Mwanamke anaposex na mwanaume afu ikatokea mara nyingi akaachwa bila kuridhika inakula na
Mwanamke anaposex na mwanaume afu ikatokea mara nyingi akaachwa bila kuridhika inakula na
kuitafuna heshima aliyonayo kwa mwanaume wake taratibu ambapo
Itafika hatua ambayo kuna namna kiwango cha heshima ambacho alikuwa nacho mwanzo kinapungua, na wengi huwa wanabadilika sana ikifika hii hatua, unaweza ukaanza kuona dharau za wazi.
Itafika hatua ambayo kuna namna kiwango cha heshima ambacho alikuwa nacho mwanzo kinapungua, na wengi huwa wanabadilika sana ikifika hii hatua, unaweza ukaanza kuona dharau za wazi.
Kwahiyo; ili kujihakikishia heshima yako haipotei hakikisha unakuwa mwanaume ambae mwanamke wako akikupea unamfanya aridhike na kufurahia tendo, asiporidhika..
Ikiwa Ulipendezwa Na Uzi Huu Fanya Rt Na Like ASante Kwa kutumia Muda Kusoma Uzi huu Unaweza Follow account @heisbixen
جاري تحميل الاقتراحات...