𝕄𝕊𝕀𝕂𝔼 ♌ 888
𝕄𝕊𝕀𝕂𝔼 ♌ 888

@Iam_Leo_King

6 تغريدة 19 قراءة Oct 06, 2022
DOPAMINE (dopamini) ni nini?
#UZI#
Dopamini (kwa Kiingereza: dopamine) ni kemikali inayofanya kazi haswa katika mfumo wa neva kuwasilisha jumbe kutoka nyuroni moja hadi nyingine.
Ama huitwa homoni ya FURAHA😊
Je! ni dalili za upungufu wa dopamini?
1.Huna motisha/Kushuka kwa motisha
2.Unakuwa umechokachoka.
3. Huwezi kuzingatia.
4.Kuwa mwenye wasiwasi.
5. Hujisikii furaha kutokana na matukio ya kufurahisha hapo awali.
6.Una huzuni
7.unajisikia kukosa matumaini.
8.kukosa au kuwa nahamu ya chini ya kufanya tendo la ndoa
9. Una shida ya kulala au kukosa usingizi.
Nini cha kufanya kurejesha hali ya kawaida ya Dopamini yako au vitu kufanya kuchochea uzalishwaji wa hormone ya dopamine mwilini.
1.Kulala
2.Kula chakula unachopenda
3.kucheza game
4.kufanya mazoezi
5.kusikiliza mziki uupendao n.k
Hivyo lazima kujipa muda kufanya yale yote yanayokupa furaha
Mtu atauliza dopamine inahusikaje na mambo ya kiume ni kuwa kama huna furaha n utulivu wa akili huwez furahia n kufanya hata tendo vizur
RT

جاري تحميل الاقتراحات...