K A G A
For some unknown reasons, I'm only interested in profitable Apps and Fifa. Any physical meetings should be done over Fifa. Meet the LOVE of my life @BandoApps
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
Imagine wewe ni Tech Startup Founder huko kwenye the Land of the Great (America). Alafu siku ya Ijumaa, unakuja kuambiwa benki yako IMEFILISIKA, simply because walipeleka pesa nyi...
GPS Tracking ni kati ya biashara rahisi kufanya. EVEN YOU CAN DO IT! Hauhitaji kujua IT ili uweze kuifanya. Kila kifaa kinakuja na maelekezo. Ingia https://t.co/LVIdWelfiQ, andi...
Miaka ya nyuma, niliwahi kufanya biashara ya kufunga GPS devices ku TRACK magari/boda na ilikuwa inaniingizia Tsh 3M per month. Personally, nilikuwa happy. Tsh 3M kwa kijana na s...
Kuna Mzee mmoja anaishi Veta, ila anafanya kazi kurasini kwenye kanisa fulani Kila asubuhi kabla hajafika kanisani, lazima apite nje ya duka moja pembeni ya kanisa inayo uza SAA,...
Next question watu wanauliza, "Haya mtu kaiba namba yangu, ataipataje password zangu?" Moja ya vitu ilikuwa inanishangaza kwa kipindi kile ni namna watu wako makini kutotoa passwo...
Nilivyomaliza Form 6, nilipata bahati kupata tempo kwenye moja ya kampuni za simu. Nilichojifunza pale ni 1 ya sababu nashauri usithubutu kuendelea kuweka 2 factor authentication...
Kuna hii FREE tool inaitwa Lumen5 (https://t.co/flzseVeu9V) Imagine unahitaji kufanya presentation na deadline imekaa ki impossible na huna hela kumlipia professional video editor...
It's 2023 na hakuna sababu ya sis kutokuwa na side business ndogo. Kama unataka kuanzisha biashara, these are the steps and tools you should use, nina imani zitakusaidia. 1. Find...
Finally, it's been 1 crazy year toka tumeanza @BandoApps mpaka sasa, here are a few Statistics: 🎯Number of Bundles sent: ▶️December 2021: 3,094 ▶️December 2022: 33,860🤯 = 10X Grow...
Unaambiwa ili utoboe unahitaji kuwa na the right team, ikiwezekana uwe na a world class team. Ila sasa, tunasahau kwenye CV's and interviews watu ni waongo sana. Watu wataandika na...
A little thread 🧵 What would you rather have? 1. An amazing app with a bad team 2. A bad app with a world class team
Nimekumbushwa NILIVYOFILISIKA! 2016 nilikuwa nauza bundles za Airtel ila zilikuwa katika mfumo wa vocha za kukwangua. Nilikuwa naenda kwa wahindi Posta, na kununua kwa Jumla, Faid...