Mr Health💊💉

Mr Health💊💉

@Mkunga_Og

Midwife || A nutritionist || A Counselor || Psychological therapies || Sexual health & Reproductive expert. 🧠

🏥 Hospital t.co انضم Nov 2019
125
سلاسل التغريدات
0
عدد المشاهدات
84.8K
متابعون
39.8K
تغريدة

سلاسل التغريدات

NIRAHISI ENDAPO KAMA UTAZINGATIA💪 "WANAUME TWENDENIPAMOJA" (Code ya leo) 1. Zingatia vyakula vyenye asili ya madini  zinc kwa wingi. 2. Hakikisha unapata nchanganyiko wa Asalii m...

WATU WOTE TUNAZALIWA NA KIMETABOLIKI SAWA LAKINI HII NDIO SABABU INAPUNGUZA KWA WENGINE . Uzi🧵 https://t.co/hbX62aCtdN

MIMBA KUHARIBIKA "MISCARRIAGE" Uzi🧵 Retweet 🔄 Tuokoe Maisha ya kichanga ⚖ Mara nyingi hutokea ndani ya miezi mitatu ya mwanzo baada ya kushika ujauzito. Twendepamoja 🤝 💊⚖ 👇 https...

MAZOEZI YA "KEGEL" YANASAIDIA SANA WANAWAKE NA WANAUME KUIMARISHA TENDO LA NDOA. uzi🧵 Leo nilikuwa na Daktari bingwa wa viungo vya mwili, lengo nikuwakomboa vijana wangu katika ma...

AINA ZA DAWA💊 ZINAZOPELEKEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. Uzi🧵 Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara. 👇 https://...

KUNA UHUSIANO MKUBWA KATI YA MADINI YA ZINC NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. Uzi🧵 Tufahamu umuhimu wa madini ya zinc, vyanzo na Faida katika miili yetu. 👇 https://t.co/1dAZXCbyUw

MATATIZO YANAYO LETA MAUMIVU KATIKA MIFUPA NA JOINS NI MENGI MNO !! uzi🧵 Fahamu magonjwa ya mifupa na joins ambayo huwasumbua watu wengi zaidi. 👇 https://t.co/DbcnOq4Pfq

TATIZO LA "GENERAL WARTS" HUANZA KAMOJA, VIWILI MWISHO UKIPUUZA VITAKUWA VINGI MNO. Fahamu chanzo cha genital warts, Dalili na Tiba ya warts. uzi🧵 RETWEET 🔄 TUOKOE MAISHA YA MMOJ...

Ubongo na uti wa mgongo huweza kuwa na uvimbe wa saratani ingawa ni nadra sana, ugonjwa huu ni hatari sana ikiwa hautatibiwa mapema. Uzi🧵 https://t.co/oYEX2xfsKB

FAHAMU HUDUMA BORA ZA KLINIKI KWA WAJAWAZITO. uzi🧵 Retweet 🔄 Usalama wa mama na mtoto upo mikononi mwetu. Twendepamoja:🤝💊⚖ 👇 https://t.co/NgmwlWDXPB

FAHAMU MADHARA YA KUTOFANYA TENDO LA NDOA "NGONO" (SEX) KWA MUDA MREFU. uzi🧵 Retweet 🔄 Tusonge mbele 🤝⚖🔥 Katika tafiti ya adolescent psychology research mwaka 2016 na J. Dennis F...

UKWELI KUHUSU CHANJO YA KUKINGA SARATANI YA MLANGO KIZAZI: (HPV VACCINE) Uzi🧵 Retweet 🔄 kuokoa maisha ya mmoja wetu. 👇 https://t.co/BlfZDZnpKE